Kwanza, lazima ujifunze kutambua
mkazo:
Dalili za mkazo ni pamoja na ufunuo wa
moyoni, urafiki, na kimwili. Haya ni pamoja na uchovu, kupotea au
kuongezeka kwa hamu ya chakula, maumivu ya kichwa, kulia, kutopata
usingizi(kuwa macho), na kulala uzingizi kupita kiasi. Mara nyingi
kunyua pompe, kutumia madawa ya kulevya na mambo mengine kama hayo ni
ishara za kuwa na mkazo. Maono ya kutia hofu, pingamizi, ama utepetevu
labda zaweza kufuatana mkazo.
Ukiona kwamba mkazo unageuza hali
yako ya kujifunza, ihari ya kwanza ni kutapata ushauri kutoka mshauri wa shule lako.
Maongozi ya mkazo ni kuwa
na uwezo( kuwa na akili au ustadi) wa kudumisha kuzuia wakati mambo ya
hali, watu, na matukio kuwa na matakwa ya kupita kiasi. Mi nini
unaweza kufanya kuzuia mkazo? Ni maarifa gani
unaweza kutumia?
Angalia kama kuna jambo unaweza kufanya ili kuzuia hali ya mambo. |
Jifunze bora kabisa vile
unaweza kujilegeza wewe mwenyewe Kutafakari na kuvuta pumzi vimetibithisha
kuwa njia nzuri za kuzuia mkazo. Jizoeze kuondoa mawazo
yanaokusumbua akilini mwako. |
Jiondoe kutoka hali ya
mkazo. Jipatie kila siku nafasi ndogo ya kupumzika
kidogo. |
Jiwekee vikomo
vinavyofaa. Punguza mambo/ matukio maishani mwako. |
Usijitoe jasho kwa mambo
madogo Jaribu kuweka vitu muhimu katika haki ya kutangulia. |
Usichiajilie kushindwa
kwa kunung'unikia habari za kazi yako.
Fanya kila kazi vile inavyokuja na kumbuka
kushughulikia mambo ya kutangulia. |
Geuza njia yako ya
kushawishiwa na jambo lilitongulia, lakini usifanye hivo sana wakati mmoja.
Kaza macho yako
kwa jambo sumbufu na kuliawala. |
Badilisha njia zako za
kufahamu mambo Jifunze kutambua mkazo ni nini. Ongeza itikio la mwili
wako na kufanya mkazo kujitawala. |
Jiepusha na kushawishiwa
na mambo ya kutangulia ambao ni ya kupita kadiri. Chukia kidogo sio kuchukia saana. Mbona kufanyiza hofu
ikiwa unweza kuwa katika hali ya enye woga? Mbona kuwa katika
hali kuondoa furaha ikiwa enye huzuni itasaidia? |
Jaribu kuzaidia wengine
ili kusaidia akili zako |
Pata usingizi wa kutosha
kutopata pumziko uongeza mkazo |
Ondoa mkazo kwa kufanya
michezo kama kikimbia, kucheza kandanda, au kulima shambani |
Epukana na kujitibu
mwenyewe Kileo na madawa ya kulevya ufunika mkazo.
Havisaidii kutatua au kuondoa matatizo. |
Sitawisha ngozi nene Kuzuia mkazo ni kujishinda wewe mwenyewe. |
Jaribu "kutumia" mkazo Kama huwezi kupigana na jambo linalo kusumbua ama
huwezi kulitoroka, jaribu kulitumia kwa njia inayoweza
kuleta mazao.
|
Jaribu na hakika
Jipatie maagizo vile unaweza kufaulu badala ya
kujipatia maagizo kuhusu ubaya wa mambo. "Mkazo
unweza kusaidia uwezo wa kukumbuka, iwapo mkazo ni
wa mda mfupi tu na si kali. Mkazo hufanya
sukari nyingi kupelekwa kwa ubongo na kuupatia ubongo
nguve nyingi zinaopita kiasi. Hali hii uongeza uwezo wa
kukumbuka. Kwa upande mwingine, kuwa na mkazo refu
mfunjiko wa uwezo wa kukumbuka."
All
Stressed Up,
St. Paul Pioneer
Press Dispatch, uk. 8B, Jumatato, Novemba 30, 1998
|
Muhimu kabisa, kama mkazo unakuweka katika hali ya
kjiingiza katika kazi yako ya shule, urafiki au katika
kazini, tafuta usaidizi kutoka mshauri wa shule
yako.
|
Mkazo katika hali ya kujaribiwa (English)
Website overview: Since 1996 the
Study Guides and Strategies web site
has been researched, authored, maintained and supported by Joe Landsberger
as an international, learner-centric, educational public service. Permission is granted to freely copy, adapt,
and distribute individual Study Guides in print format in non-commercial educational settings that benefit learners. Please be aware that the Guides welcome, and are under, continuous review and revision. For that reason, reproduction of all content on the Internet
can only be with permission through a licensed
agreement. No request to link to the Web site is necessary.
Visitor Center
Projects, news, metrics, copyright, licensing
Joe's
professional and personal webpages
|